Mkakati utekelezaji mkataba wa AfCFTA wazinduliwa Dar

DAR ES SALAAM; Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) umezinduliwa Dar es Salaam leo na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jafo na kuhudhuriwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile na wadau mbalimbali.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Suleiman Jafo akizungumza kwenye uzinduzi huo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi huo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button