MOI, India watengeneza miguu bandia kwa Watanzania 600

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Taasisi ya Jaipur India inatarajia kuendesha kambi maalum ya kutoa miguu bandia kwa Watanzania 600 waliopoteza viungo hivyo.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dk. Lemeri Mchome wakati akizungumza na waandishi wa habari. Dk. Lemeri amesema kuwa kambi hiyo itadumu kwa miezi miwili kuanzia Novemba 26, 2025 ambapo wahitaji watafika MOI kwa ajili ya usajili kabla ya kwenda eneo la Swami Vivekanand Cultural Centre (SVCC), Masaki Jijini Dar es Salaam
“Kambi hii ni ya miezi miwili, mhitaji atafika MOI kwa usajili… mpaka sasa wahitaji 300 wamejisajili, baada ya usajili Novemba 26, 2025 kambi hii itaanza rasmi eneo la Cultural Centre Masaki, Jijini Dar es Salaam”
Dk. Lemeri ameongeza kuwa wahitaji watakaonufaika na huduma hiyo ni wale ambao wamepona kabisa majeraha ya kiungo alichopoteza na kwa wale ambao majeraha hayajapona wanashauriwa kusubiri wapone. SOMA: Watoto wenye vichwa vikubwa ,mgongo wazi kutibiwa bure MOI
Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Siasa kutoka Ubalozi wa India nchini Tanzania Lakshay Anand amesema kwamba wataalam watatumia teknolojia ya kipekee ya mguu wa bandia wa Jaipur Foot, ambapo mtu aliyekatwa mguu chini ya goti ataweza kutembea, kukimbia, kuchuchumaa, kupiga magoti, kucheza, kupanda mti, kuendesha gari na pikipiki. Aidha Lakshay ametoa wito kwa wale wote waliopoteza viungo hususani miguu, wajitokeze kupata matibabu ya kambi hiyo.




Nowadays earning money online is very easy . Eanrs every month online more than $17k by doing very easy home based job in part time u can also do this simple online Job by visiting website
More Details For Us→→ http://www.job40.media
JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com