Mount arejea uwanjani

KIUNGO wa Manchester United raia wa Uingereza Mason Mount, amerejea katika kikosini baada ya kukosekana kwa takribani miezi minne kutokana na majeraha.

Nyota huyo mara ya mwisho alionekana uwanjani mwezi Novemba 2023 katika ushindi wa bao 1 –0 dhidi ya Luton Town.

Tangu ajiunge na United, Mount amechezea michezo 12 katika michezo 38 ambayo Manchester united wamecheza msimu huu.

Habari Zifananazo

Back to top button