Mshindi programu ya ‘Code Like A Girl’ apata tuzo Dar

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Raslimali Watu kutoka Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis (kulia) akamkabidhi zawadi Mwanafunzi Bless Alexander, mhitimu  wa mafunzo ya programu ya ‘Code Like A Girl’ yenye lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM).

Programu hii inafadhiliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na dLab katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki  jijini Dar es Salaam

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button