Naibu Spika ahitimisha mafunzo kwa wabunge
NAIBU Spika wa Bunge, Daniel Sillo amehitimisha mafunzo kwa wabunge leo Novemba 21, 2025 jijini Dodoma.
SOMA: Spika Zungu afungua mafunzo kwa wabunge
Mafunzo hayo ya siku tano yalilenga kuwajengea uwezo wabunge kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa shughuli za Bunge, umuhimu wa Kamati za Bunge katika kufanikisha shughuli za Bunge na Maadili ya Viongozi.

Masuala mengine ni kuhusu haki na wajibu wa wabunge, Diplomasia na Itifaki za kibunge pamoja na mahusiano ya kazi baina ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Bunge.




Nowadays earning money online is very easy . Eanrs every month online more than $17k by doing very easy home based job in part time u can also do this simple online Job by visiting websiteMore Details For Us→→ http://www.job40.media