Nyota 30 waitwa Twiga Stars maandalizi WAFCON

KIKOSI cha awali cha wachezaji 30 wa timu ya taifa ya wanawake kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON 2026) kimetangazwa.

Wachezaji walioitwa katika kikosi hicho kitakachokuwa chini ya Kocha Mkuu Bakari Shime ni Najiath Abbas, Asha Mrisho, Nusrat Jafar, Husna Mtunda, Enekia Kasonga, Lidya Maxmilian, Diana Mnaly na Asha Omary.

SOMA: Twiga Stars ilitikisa 2024

Wengine Donisia Minja, Juletha Singano, Noela Luhala, Christer Bahera, Anastazia Katunzi, Vaileth Nicholaus, Ester Maseke, Janeth Christopher, Suzan Adam, Maimuna Kaimu na Joyce Lema.

Wachezaji wengine walioitwa ni Elizabeth Chenge, Stumai Abdallah, Winfrida Gerald, Aisha Juma, Hasnath Ubamba, Opah Clement, Neema Shau, Jamila Rajabu, Clara Luvanga, Aisha Masaka na Diana Lucas.

WAFCON 2026 imepangwa kufanyika Morocco kuanzia Machi 17 hadi Aprili 3, 2026.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button