PICHA; Kilindi kumeitika ziara ya Rais Samia

TANGA; Sehemu ya wananchi wa Kilindi waliojitokeza kumsikiliza Rais Dk Samia Suluhu Hassan leo Februari 25, 2025, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya Rais Samia inayoendelea mkoani Tanga.(Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu).





