MOROGORO; Shamrashamra za wananchi wa Gairo mara baada ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan kuwasili katika wilaya hiyo kwa ajili ya kuwahutubia leo Agosti 2, 2024. (Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu).