Rais Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji UNICEF

Rais Dk Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF), Catherine Russell, leo Machi 11, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Katika mazungumzo yao, Rais Dk Samia ameishukuru UNICEF kwa mchango wake katika masuala mbalimbali ikiwemo afya, elimu na lishe kwa watoto pamoja na afya ya msingi. (Picha na Ikulu)

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button