Rais Samia amteua Mtanda kuwa RC Mara
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Wilaya Urambo, mkoani Tabora, Said Mohammed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kuchukua nafasi ya Meja Jenerali Suleiman Mzee atakayepangiwa majukumu mengine.