Rais Samia na Mama Magufuli, Suzana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button