RC Shinyanga: Toeni elimu chanjo ya mifugo

SHINYANGA; Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita amewataka wakuu wa divisheni za mifugo na uvuvi pamoja na maofisa ugani kuendelea kutoa elimu kwa wafugaji kuhusu umuhimu wa chanjo na utambuzi wa mifugo, ili kuongeza usalama na thamani ya mifugo yao.

Mhita ametoa wito huo Desemba12,2025 wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki 14 zenye thamani ya Sh milioni 44 kwa maofisa ugani kutoka halmashauri zote sita za mkoa na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali.
Amesema pikipiki hizo zimetolewa na Wizara ya Mifugo ili kurahisisha ufuatiliaji na utoaji wa huduma kwa wafugaji.




Google provides awesome remote work opportunities, allowing me to earn $2000-$3000 weekly with just 2-4 hours of daily work. It’s been a game-changer, offering flexibility and reliable income. If you’re seeking a genuine way to earn online, don’t miss this chance. Start today and transform your life!
.
More Details For Us →→ http://www.big.income9.com