Samia: Tunajiamini, sera zetu zinaaminika

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya siasa 17 vilivyosimamisha wagombea wa kiti cha rais, katika Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025.

Kwa sasa vyama hivyo viko katika kampeni maeneo mbalimbali ya nchi kuomba ridhaa ya wapigakura siku ya uchaguzi ikiwadia. Kwa upande wa chama tawala (CCM), hicho kimemsimamisha Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kuwania kuendelea kutumikia nafasi hiyo.

Akiwa katika mikutano ya kampeni wakati wa kuomba ridhaa, Samia anabainisha sababu za kugombea kuwa ni kutokana na sera za CCM ambazo zinaaminika katika kulitumikia taifa. Anasema kuaminika kwao mbele ya umma kunatokana na kufanikisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025.

Samia anasema pamoja na uwepo wa majanga ambayo nchi iliyapitia ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa COVID-19 na kuporomoka kwa uchumi wa dunia, Serikali za CCM (Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar- SMZ) zimepata mafanikio makubwa na mengi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kusogeza huduma kwa jamii.

SOMA: Samia atoa ahadi 5 uchumi Igunga

“Pamoja na majanga yote hayo, tumeweza kufanya kazi kubwa pamoja katika sera za kifedha na uchumi zilizochangia ukuaji wa uchumi na ndio maana hatukukwama katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,” anasema.

Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, wastani wa utekelezaji wa ilani umefikia zaidi ya asilimia 90 katika maeneo yote sita ya kipaumbele ambayo ni kulinda na kuimarisha misingi ya utu, usawa, haki na uongozi bora ili kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Taifa.

Kadhalika, kukuza uchumi wa kisasa, fungamanishi, jumuishi na shindani uliojengwa katika msingi wa viwanda, huduma za kiuchumi na miundombinu wezeshi pamoja na kuleta mageuzi ya kilimo, mifugo na uvuvi ili kuwa na uhakika wa chakula na kujitegemea kwa chakula wakati wote sambamba na kuchangia kikamilifu katika maendeleo ya uchumi.

Pia, hayo yamefanikiwa katika kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya, elimu, maji, umeme na makazi vijijini na mijini na kuchochea matumizi ya utafiti, sayansi, teknolojia na ubunifu kama nyenzo ya maendeleo ya haraka ya kijamii na kiuchumi pamoja na kutengeneza ajira zisizopungua milioni 8 katika sekta rasmi na isiyo rasmi.

Utekelezaji wa maeneo hayo ulilenga kustawisha maisha ya kila Mtanzania, kutokomeza umasikini na kuhakikisha
taifa linafikia uchumi wa kipato cha kati.

“Tumepata mafanikio katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM na ndio maana tumejiamini na tumepata ujasiri wa kurudi kwa wananchi na kuomba ridhaa ya kuiongoza nchi yetu kwa miaka mingine mitano, ili tuipeleke Tanzania kwenye mafanikio makubwa zaidi.

“CCM tumeweza, tumefanya, tuliahidi, tumetekeleza na tunaahidi mambo makubwa zaidi na ninawahakikishia kuwa tutatekeleza. Tunajiamini na tuna kila sasabu ya kurudi kwenu kwa ujasiri kwamba tunaweza, tupeni ridhaa,” anasema.

Samia anaongeza kuwa: “CCM tunaomba mtupe kazi ili kujenga utu wa Mtanzania ili tusonge mbele. Lengo letu ni kuwatumika Watanzania, tujenge utu wao na kujenga taswira ya taifa letu ili tusonge mbele.”

Anasema serikali yake na SMZ chini ya uongozi wa Dk Hussein Mwinyi zimesimamia na kuimarisha uchumi unaokua kwa kasi kubwa. Ukuaji wa uchumi kwa Zanzibar umekuwa kwa asilimia 7.1 kwa mwaka, wakati Tanzania Bara umekuwa kwa asilimia 6 kwa mwaka, huku Samia ahaidi kufikia asilimia 7 katika mwaka ujao wa fedha.

“Zaidi, uchumi umekua mpaka mifukoni mwa wananchi na ndio maana kila unapokwenda unaona mabadiliko makubwa katika ustawi na maisha ya Watanzania,” anasema kwa kujiamini. Aidha, Samia anabainisha mambo muhimu yatakayopewa kipaumbele na serikali ya CCM pindi wananchi watakapotoa ridhaa kwa chama hicho ya kuongoza nchi katika miaka mitano ijayo.

Anataja mambo hayo kuwa ni pamoja na kuendelea kukuza uchumi na kipato cha wananchi, kuinua hali za maisha ya Watanzania wote na kuimarisha ustawi wa jamii. Mengine ni pamoja na kulinda amani na utulivu katika nchi, kudumisha demokrasia na utawala bora na muhimu zaidi ni kujenga Taifa linalojitegemea.

“Katika kujenga taifa linalojitegemea, hatutafika huko mpaka kila mtu ndani ya taifa hili, hususani vijana awe na shughuli inayomwingizia kipato.

“Tunataka yeye mwenyewe asimame kama mtu mmoja, ajitegemee. Halafu kwa ujumla wetu, tunaweza kujitegemea kama taifa na hii ndio kazi tunayoelekea kuifanya mkitupa ridhaa ya kuandaa mazingira rafiki kwa vijana wetu wa Kitazania kuweza kuwa na shughuli za kuingiza kipato, ili kila mmoja ainue ustawi wa maisha yake. Na ndio maana tunasema ‘Kazi na Utu, Tunasonga Mbele’,” anasema.

Mgombea urais huyo wa CCM anasema kwa mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na serikali ya CCM, hawana wasiwasi kwamba chama hicho kitaibuka na ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoka 29, 2025.

“Tunaomba kura kwa wagombea wa CCM, kwa sababu Chama Cha Mapinduzi kinajali utu, huduma za maji, afya, umeme, kujenga barabara na tunapongeza jitihada za uzalishaji wa mazao ya chakula, ni kuujali utu wa mtu. Kazi hiyo CCM inaweza kufanya miradi mikubwa na midogo na ikakamilisha,” anasema.

Anaongeza: “Tunajiamini, uwezo tunao na nyenzo za kufanyia kazi tunazo. Kwa hiyo pigeni kura kwa Chama cha
Mapinduzi na piga kura kwa mafiga matatu; rais, mbunge na diwani wetu.”

Habari Zifananazo

12 Comments

  1. Sign in
    TAZAMA MWIZI ALIVYOCHOMWA MOTO MKOANI ARUSHA NA WANANCHI
    553,587 views · 1 month ago#makonda #millardayo #globaltv
    …more

    Time Tv Online
    6.24K

    Subscribe

    1.9K

    Share

    Save

    Report
    Comments250
    Add a comment…

    18:01
    Go to channel
    ALIYEMTOA KINGUVU MAMA MJANE KWENYE NYUMBA AOMBA KESI ISIFIKE MAHAKAMANI
    BONGO 24
    New
    12K views

    20:52
    Go to channel
    The World’s Highest Security Prison: CECOT (The most evil are kept here)
    Ruhi Çenet•136M views

    11:08
    Go to channel
    TAZAMA KOMANDO HUYU ALIVYO MUOGOPESHA RAIS SAMIA/ATOKEA NA MAVAZI YA KUTISHA/MIAKA 60 YA JWTZ
    Scope Media•909K views

    7:13
    Go to channel
    MCHAWI JAMILA AKIWA NA WENZAKE 11 AANGUKA GHAFLA ARUSHA AKIWA NA UNGO, TAHARUKI PEMBE YACHOMWA
    Millard Ayo•412K views

    5:45
    Go to channel
    Alichokizungumza Tundu Lissu baada ya kupata dhamana
    Millard Ayo•1.4M views

    13:21
    Go to channel
    Yanga SC 1-0 Simba SC | Highlights | Ngao Ya Jamii 16/09/2025
    Azam TV•562K views

    12:39
    Go to channel
    ADAIWA KUONEKANA SIKU CHACHE BAADA YA KUZIKWA MTWARA| FAMILIA YABAKI NJIA PANDA
    Faida Online TV•201K views

    7:35
    Go to channel
    DONT BE RUDE TO ME IM NOT YOUR HUSBAND!Crazy drama!Lawyer Elisha Ongoya loses temper on lady witness
    KENYA NEWSLINE•933K views

    14:59
    Go to channel
    BALAAA! WAREMBO WOTE WAMEMPENDA MR RIGHT HANDSOME – S04E12
    ST BONGO TV•769K views

    11:54
    Go to channel
    JAMBAZI SUGU AKAMATWA
    barmedastv•829K views

    6:50
    Go to channel
    JAMAA AIBUA MAPYA MBELE YA WAZIRI MKUU ” NAOMBA ULINZI NATISHIWA KUUAWA , NALALA CHOONI NIMEJIFICHA”
    Millard Ayo•370K views

    11:51
    Go to channel
    MUME WA MWANAMKE ALIYEFIA GEST AFUNGUKA “NDUGU WANATAKA KUONDOKA NA MAITI PAMOJA NA WATOTO”
    KUSAGA TV•264K views

    Share

    WhatsApp
    Facebook
    X
    Email
    Reddit
    Cancel

  2. Sign in

  3. Sign in

  4. Sign in

  5. Sign in

  6. Sign in

  7. Sign in

  8. Sign in

  9. Sign in

  10. Sign in

  11. Sign in

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button