TADB yaipiga jeki Galaxy Food kuongeza uzalishaji, soko

ARUSHA: Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeiwezesha Kampuni ya Maziwa Galaxy Food and Beverages Ltd kuondoa vikwazo vya uzalishaji na kupanua masoko ya bidhaa zake za Kilimanjaro Fresh, hatua inayoongeza ajira na kuimarisha mnyororo wa thamani wa maziwa nchini.
Meneja wa Uzalishaji wa Galaxy, Augustine Lyana, alisema kuwa kabla ya ushirikiano na TADB, kiwanda kilikabiliwa na changamoto za uwezo mdogo wa kusindika maziwa, utegemezi wa wafugaji wa nje kwa maziwa ghafi na upungufu wa usambazaji nje ya mkoa wa Arusha. “Changamoto hizi zilikuwa zinazuia kasi ya ukuaji wa kampuni,” alisema jana.
Kupitia uwezeshaji wa TADB, Galaxy imeanzisha shamba la kisasa lenye ng’ombe 240 wa maziwa, imeongeza laini ya uzalishaji kwa mashine ya UHT ya kisasa, na kupanua usambazaji wa bidhaa kutoka Arusha hadi Dar es Salaam, Dodoma na Mwanza, huku ikilenga kuingia katika soko la Afrika Mashariki.
“Ushirikiano huu umeleta mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii,” aliongeza Lyana. “Tumeongeza ajira kwa vijana zaidi ya 200 wengi wao wanawake, kuboresha ubora na usalama wa maziwa, na kuimarisha mnyororo wa thamani wa sekta ya maziwa. Sasa Tanzania ipo tayari kushindana kwenye soko la kikanda kwa viwango vya kimataifa.”
Sekta ya maziwa nchini bado ina fursa kubwa. Takwimu za Wizara ya Mifugo zinaonyesha Tanzania huzalisha takribani litita bilioni 3 za maziwa kwa mwaka, lakini ni asilimia 12 pekee ndiyo husindikwa viwandani. Wataalamu wanasema kiwango kidogo cha usindikaji kimekuwa kikikwaza uwezo wa nchi kutumia kikamilifu rasilimali za mifugo na kuongeza thamani ya mazao ya maziwa.
Kwa sasa Galaxy inasindika maziwa safi, mtindi, yogurt, samli na jibini, na inalenga kutumia nguvu mpya ya uzalishaji kuingia kwenye masoko mapana ya Afrika Mashariki. Wataalamu wa sekta wanasema mafanikio ya kampuni hiyo yanaonyesha jinsi uwekezaji wa kimkakati unavyoweza kubadilisha kilimo-biashara na kuchochea ukuaji wa viwanda vya ndani.
“Baada ya TADB kuchagiza kwenye kiwanda cha Kilimanjaro Fresh pamekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuimarika kwa mnyororo wa thamani wa maziwa na kuimarika kwa usalama wa chakula kwani maziwa yamekuwa yakipatikana kwa wingi,” amesema Samson Siyengo, Afisa Maendeleo ya Biashara TADB.
Siyengo aliongeza kuwa takribani wafanyakazi zaidi ya 200, wengi wao vijana na wanawake, wamepata ajira. “Wameweza kufikia masoko ya sehemu mbalimbali ndani na nje ya Arusha, na sasa wanapanua mikakati kufikia masoko ya kikanda na hatimaye masoko ya nje kwa kuchochea uchumi wa taifa,” alisema.
Kwa sasa, mazao ya Kilimanjaro Fresh maziwa safi, mtindi, yogurt, samli na jibini yanauzwa hadi Dar es Salaam, Dodoma na Mwanza, na yanalenga soko la Afrika Mashariki.
Uwekezaji huu unakuja wakati sekta ya maziwa nchini ikikua kwa kasi lakini bado inahitaji mitaji na teknolojia ili kuendana na mahitaji yanayoongezeka. Hatua ya TADB inaonyesha jinsi taasisi za kifedha za ndani zinavyoweza kuchochea kilimo-biashara, kuongeza usalama wa chakula na kuinua kipato cha jamii vijijini.
JI:U:NGE NA FR:EE:MA:SON UPATE UTAJIRI WA MALI NYUMBA NA MAGARI BILA KA:FA:LA WASILIANA NA MKUU PIGA: 0626533880/
https://youtube.com/shorts/IYtEgzJoGyI?si=UpkIYgXLP250vjKZ

I just got paid $22k working off my laptop this month!** And if you think that’s cool, my divorced friend has twin toddlers and made over $22620 her first month.details on this website**Want the secret?** Copy this Website and choose HOME TECH OR MEDIA……..
Here is I started_______ https://Www.Jobathome1.Com