Tanzania yaandikisha wanachama wengi bima ya afya

TANZANIA, Kenya na Rwanda ni miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizoandikisha wanachama wengi kupata huduma za matibabu kupitia bima ya afya.
Aidha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limeridhia azimio la kulitaka Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo kuharakisha mchakato wa kuwa na bima ya afya kwa wote ili watu wawe na afya njema.
Akiwasilisha hoja hiyo kwenye mkutano wa nne wa Bunge la tano, mbunge wa Eala kutoka Rwanda, Balozi Fatma Ndangiza amesema katika kuhakikisha suala la afya linaimarika Tanzania, Kenya na Rwanda ni nchi za mfano kwa kuwa na hamasa ya watu kujiunga na bima ya afya ili wapate huduma za matibabu.
Amesema wabunge hao wamepitisha azimio hilo kuharakisha mchakato wa kuwa na huduma ya bima ya afya kwa wote kwa kuwezesha nchi wanachama kutenga bajeti ya asilimia 15 ili kufikia malengo ya umoja huo.
“Ni wakati sahihi wa kupata majibu ya uhakika ya mkakati wa kuachana na utegemezi wa misaada kutoka nchi za Ulaya na badala yake kufanya uwekezaji wa kutosha ili kuendana na uhitaji uliopo hususan katika sekta ya afya kwani tunatakiwa kuhakikisha afya inakuwa haki ya msingi kwa kila raia, maana afya ni utajiri,” amesema.




I am making a real GOOD MONEY (80$ to 92$ / hr. )online from my laptop. Last month I GOT a check of nearly 21,000$, this online work is simple and straightforward, I don’t have to go to the OFFICE. At that point this work opportunity is for you. If you are interested. Simply give it a shot on the accompanying site link… https://Www.EarnApp1.Com
I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com