Tudumishe amani tusikubali siasa za chuki

MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuwapuuza wanasiasa wasiohubiri amani, akisisitiza kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo ya Taifa.

Akizungumza leo,  tarehe 07 Oktoba 2025, katika Uwanja wa Michezo wa Likoni, Kojani, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Dkt. Mwinyi amesema viongozi wasioweka mbele amani hawana nia njema na ustawi wa nchi, hivyo akawahimiza wananchi kuendelea kuiunga mkono CCM ambayo imejidhatiti kudumisha umoja na utulivu wa Zanzibar.

Katika hotuba yake, Dkt. Mwinyi pia ametangaza kuwa Serikali inatarajia kujenga skuli 29 mpya Unguja na Pemba, hatua itakayowezesha wanafunzi wote kusoma kwa mkondo mmoja badala ya mfumo wa zamu mbili. SOMA: Mwinyi azidi kuhimiza amani

Akijibu ombi la wananchi wa Kojani, Dkt. Mwinyi ameahidi kujenga uwanja wa michezo kisiwani humo ili kukuza vipaji vya vijana. Pia ameweka bayana kuwa hospitali ya wilaya ya Kojani inaendelea kujengwa, sambamba na marekebisho ya gati ili kurahisisha matumizi ya boti ya wagonjwa (ambulance boat) aliyokabidhi rasmi leo kama sehemu ya ahadi zake.

Aidha, amesema Serikali imeagiza boti mbili za kisasa kwa ajili ya kuimarisha usafiri wa baharini baina ya Tanga, Pemba na Unguja, huku meli ya MV Mapinduzi ikitarajiwa kuanza safari zake hivi karibuni. Katika sekta ya uwezeshaji wananchi, Dk. Mwinyi amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kutoa mikopo isiyo na riba kwa vijana na wajasiriamali ili kuongeza ajira na kipato.

Wananchi na wanachama wa CCM waliomsikiliza wamepongeza juhudi za Rais Dk. Mwinyi za kuwaunganisha Wazanzibari na kufanikisha maendeleo makubwa kisiwani humo.Katika mkutano huo, wanachama 400 wa ACT Wazalendo wamejiunga na CCM, wakiahidi kumpa Dk. Mwinyi kura za “ndiyo” katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

Habari Zifananazo

7 Comments

  1. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

    1. Every month, I earn over $21,000 doing an online job from home in my spare time. Last month, I earned $19,685 from this simple internet business by working just 3 hours a day on my laptop. This work-from-home opportunity is incredible, and the daily earnings far exceed those of typical 9-to-5 desk jobs. Anyone can start earning money online by following the instructions on this website…

      Open this… http://Www.Work99.Site

  2. I must say this article is extremely well written, insightful, and packed with valuable knowledge that shows the author’s deep expertise on the subject, and I truly appreciate the time and effort that has gone into creating such high-quality content because it is not only helpful but also inspiring for readers like me who are always looking for trustworthy resources online. Keep up the good work and write more. i am a follower.

  3. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

  4. Every month start earning more than $12,000 by doing very simple Online job from home.i m doing this job in my part time i have earned and received $12429 last month .I am now a good Online earner and earns enough cash for my needs. Every person can get this Online

    job pop over here this site… ­­ https://Www.Salary7.Zone

  5. I honestly didn’t expect much when I first tried this, but here I am making around 6,854/USD a month just by working online a few hours a day from home. It’s not a get-rich scheme, just something steady that’s been working for me quietly in the background. If you’ve been looking for something consistent like I was, here’s what I started with:
    👉 https://www.jobs67.com

  6. I am making a real GOOD MONEY (80$ to 92$ / hr. )online from my laptop. Last month I GOT a check of nearly 21,000$, this online work is simple and straightforward, I don’t have to go to the OFFICE. At that point this work opportunity is for you. If you are interested. Simply give it a shot on the accompanying site link… https://Www.EarnApp1.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button