Vazi la Ukaye la kitanga

MIONGONI mwa mavazi ya kuvutia mkoani Tanga ni vazi la Ukaye la watu wenye asili ya kitanga na linavaliwa kwenye matukio muhimu.

Wanawake wa kitanga wanadai vazi hilo lilianza kuvaliwa tokea kipindi cha nyuma. (Picha na Samwel Swai)


