Wakimbizi wa Burundi kutopewa uraia Tanzania

BURUNDI: SERIKALI ya Tanzania imewataka wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi nchini wawe tayari kurejea nchini mwao ambako imewahakikishia kurejea kwa hali ya amani na utulivu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene alitoa msimamo huo wakati wa Mkutano wa 26 wa Pande Tatu baina ya Tanzania, Burundi na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) uliohusu urejeshaji wakimbizi katika nchi yao ya Burundi.
“Serikali ya Tanzania inatambua kuwa wakimbizi walioko kambini wanadhani kuendelea kuishi Tanzania kwa muda mrefu kutawapatia uraia wa Tanzania,” alisema.
Aliongeza: “Tanzania haina mpango wa kubadilisha sera na sheria zake ili kuwajumuisha wakimbizi kwenye mipango ya maendeleo ya taifa ili waweze kujiimarisha na kujitegemea wakiwa hapa nchini na zaidi, haina mpango wa kuzigeuza kambi za wakimbizi kuwa makazi,” alisema.
Mkurugenzi wa Urejeaji na Ujumuishaji wa Warejeaji, Nestor Bimenyimana alisema wao kama Burundi wako tayari kushirikiana na pande zote ili kuwapokea wananchi wake wanaoishi Tanzania.
Mwakilishi wa UNHCR, Barbara Dotse alisema UNHCR ina nia ya dhati kufanya kazi pamoja na wadau wote na kuandaa njia sahihi ya kuwezesha urejeaji wa wakimbizi hao, ikizingatia utu na haki ya wakimbizi hao.




I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
WHATSAPP ☎️+254706758878 ☎️ ZUNGUMUZA NA MIMI MGANGA MKU WAGANGA WA MITISHAMBA HAPA KENYA NA EAST AFRICA.
WHATSAPP ☎️+254706758878 ☎️ ZUNGUMUZA NA MIMI MGANGA MKU WAGANGA WA MITISHAMBA HAPA KENYA NA EAST AFRICA.