Wakulima washauriwa maeneo bora kilimo tija

DODOMA: Ofisi ya Mageuzi ya Kilimo (ATO), amewashauri wakulima nchini kujiuliza na kuchagua eneo moja la kilimo lenye tija na kulifanya kuwa kipaumbele chao ili kufanikisha mafanikio ya kiuchumi.

Ushauri huu unalenga kuongeza tija na ushindani wa wakulima wadogo, sambamba na kuchochea ukuaji wa kilimo chenye kuhimili mabadiliko ya tabianchi na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii.

ATO ni ofisi ya mageuzi ya kilimo ambayo
iliundwa kuweza kutengeneza mpango kabambe wa mageuzi ya sekta ya kilimo na kusimamia utekelezaji wa mageuzi hayo ni mpango wa wizara mbili, wizara ya kilimo na wizara ya mifugo na uvuvi.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button