Walimu kuzawadiwa ufaulu wa watoto

DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Uwekezaji, Prof.

buy prevacid online https://ozgurmd.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/prevacid.html no prescription pharmacy

Kitila Mkumbo amewataka walimu wa Shule ya Msingi Mlimani Dar es Salaam kufanya kazi ya ufundishaji kwa weledi kimkoa na kitaifa.

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya ugawaji wa vifaa vya muziki katika shule hiyo Waziri Mkumbo amesema ana matarajio makubwa na shule hiyo.

Amesifu shule hiyo kwa kufanya vizuri katika shule za Ubungo, lakini pia aliwataka kufanya vizuri katika masomo ya hisabati ambapo ameahidi kutoa zawadi kwa walimu watakaofanikisha  ufauru wa juu wa masomo hayo.

buy actos online https://ozgurmd.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/actos.html no prescription pharmacy

“Nitatoa zawadi ya fedha kwa walimu watakaofanya vizuri masomo hayo, ambapo tayari kuna baadhi ya shule nilishawahi kutoa zawadi kama hizo ilikufanya vizuri,” amesema Prof Mkumbo.

Pia amewaomba walimu ambao wapo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutumia muda wao wa ziada kwa kufundishia katika shule hiyo.

Katika makabidhianiano hayo pia kulikuwa na balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian ambaye amefurahia juu ya msaada huo na kusema miongoni mwa taifa ambalo amewahi kulijua kabla ni Tanzania.

Habari Zifananazo

Back to top button