Wanafunzi Benhubert watembelea Hifadhi ya Mikumi

MOROGORO; WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Benhubert ya Kivule, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo Morogoro leo Agosti 11, 2025, ikiwa ni sehemu ya mafunzo kwa vitendo kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo utalii.