Wanafunzi Kenyana wapewa somo mimba za utotoni

MARA: Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kenyana iliyopo kijiji cha Kenyana Kata ya Ring’ani Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wameelezwa madhara ya ndoa za utotoni na mimba za utotoni.

Hayo yamesemwa na Sajenti Emmanuel ambaye ni polisi wa Kata ya Ikoma baada ya wanafunzi hao kumaliza kufanya mitihani ambapo amewataka wanafunzi hao kutoa taarifa endapo watalazimishwa kuolewa wakiwa na umri mdogo

Sajenti Emmanuel amewakumbusha pia wanafunzi hao kua na tabia njema, kuchagua marafiki sahihi na kujitunza kipindi chote watakachokua nyumbani wakisubiri matokeo

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button