Watuhumiwa 76 wanaswa Mwanza

JESHI la Polisi mkoani wa Mwanza limewakamata watuhumiwa 76 kwa makosa mbalimbali.
Akizungumza jana katika mahojiano malumu ofisini kwake, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa, Wilbroad Mutafungwa, amesema katika msako kudhibiti matukio ya kihalifu inayoendelea katika kipindi cha Oktoba 11 mwaka huu, mpaka sasa wamefanikiwa kukamata watuhumiwa hao.
Ametaja baadhi ya makosa yakiwemo ni kupatikana na mali zinazo dhani kuwa ya wizi watuhumiwa ni13, watuhumiwa wa dawa za kulevya 25, na watuhumiwa kujihusisha na ukahaba 11.

“Watuhumiwa 22 ni wakucheza kamari, mtuhumiwa mmoja ni kukosa leseni ya udereva na mtu mmoja amepatikana na pombe ya moshi,” amesema.
Amesema watu wengine watatu wamekamatwa kwa kufanya fujo na watu 16 wamekamatwa na makosa ya kuiba vyuma chakavu.

Amesema watuhumiwa hao wamekamatwa na vielelezo mbalimbali vya kufanyia uhalifu ambavyo ni pikipiki 03. Amesema hali ya ulinzi na usalama kwa Mkoa wa Mwanza imeendelea kuwa shwari.
Ameahidi, Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza litaendelea kuzuia na kudhibiti matukio ya kihalifu kwa kushirikisha na jamii ambapo taarifa zinazohusiana na uhalifu na wahalifu zinaendelea kupokelewa kutoka kwa wananchi na kufanyiwa kazi kupitia doria na misako.




I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
I get paid more than $100 to $500 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this I have earned easily 💵$20k from this without having online working skills . Simply give it a shot on the accompanying site…
Here is I started.……… https://Www.Works6.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com
I’m currently generating over $35,100 a month thanks to one small internet job, therefore I really like your work! I am aware that with a beginning cdx05 capital of $28,800, you are cdx06 presently making a sizeable quantity of money online…… https://cashprofit7.site