WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Hassan Zidadu Kungu (kushoto) na Mbunge wa Kibiti, Twaha Mpembenwe (Kulia) baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Nne cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 01.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)