TIMU ya Yanga ya vijana chini ya miaka 17 imekabidhiwa kombe la ubingwa wa michuano ya U17 ililolitwaa kabla ya michuano hiyo kumalizika.
Yanga U17 imekabidhiwa kombe hilo baada ya kuibamiza TDS (TFF Academy) kwa mabao 4-0 kwenye uwanja KMC, Dar es Salaam.