Year: 2025

Afya

Kituo cha afya Engarenaibor chapata ‘ambulance’ ya Kisasa

ARUSHA: ZAIDI ya wakazi 30,000 wa vijiji 11 vya Tarafa ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha wameondokana na changamoto kusaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bil 4/- kuboresha ufundishaji IAA Arusha

ARUSHA: MKUU wa Chuo cha Uhasibu (IAA) mkoani Arusha, Profesa Eliamani Sedoyeka amesema mwaka wa fedha Julai 2025 hadi Juni 2026,…

Soma Zaidi »
Afya

JKCI yatoa mil 200/- kwa mwezi msamaha wagonjwa wa moyo

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema taasisi hiyo imekuwa ikitoa msamaha wa takribani…

Soma Zaidi »
Tahariri

Maelekezo ya utu ujenzi wa barabara yazingatiwe

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu na kuondoa kero kwa wananchi kila wanapopewa kazi za ujenzi…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Confucius, JUYE wadhamini 27 kusoma Kichina

DAR ES SALAAM: WANAFUNZI 27 wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamepata udhamini wa kuendelea…

Soma Zaidi »
Jamii

Wazee mil 1.2 wapewa vitambulisho matibabu bure

SERIKALI imefanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure na bima za afya kwa wazee 1,256,544 na inaendelea kutoa huduma za…

Soma Zaidi »
Kanda

Ulega aagiza ujenzi barabara usiwe kero

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu wa wananchi na kuondoa kero kila wanapotekeleza miradi ya ujenzi…

Soma Zaidi »
Biashara

‘Simamieni ushindani wa haki, msiumize walaji’

DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, amelitaka Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kulinda na kusimamia…

Soma Zaidi »
Madini

Bei ya dhahabu yapaa, yavunja rekodi dola 4,400 kwa gramu

BEI ya dhahabu imepanda na kuvunja rekodi, ikiuza kwa zaidi ya dola 4,400 kwa gramu kwa mara ya kwanza katika…

Soma Zaidi »
Africa

Ethiopia yapiga marufuku mifuko ya plastiki

MAMLAKA ya Kulinda Mazingira nchini Ethiopia imetangaza kuwa itaanza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Januari 31, 2026.…

Soma Zaidi »
Back to top button