Year: 2025

Afya

Wadau waomba vituo upimaji watoto wenye ulemavu

MOROGORO: WADAU wa maendeleo ya sekta ya elimu wameiomba serikali kujenga vituo vya ubainishaji na upimaji kwa watoto wenye ulemavu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mikopo ya halmashauri yawa kichocheo ajira kwa vijana

KIGOMA: SERIKALI imesema mikopo inayotolewa kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri za Mkoa Kigoma imekuwa chachu katika kutengeneza ajira…

Soma Zaidi »
Jamii

Waomba mazingira bora zaidi elimu jumuishi

WADAU wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu wameiomba Serikali kujenga vituo vya ubainishaji na upimaji kwa watoto wenye ulemavu na…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Rais Mwinyi azindua Mji wa Dk. Hussein Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameuzindua rasmi Mji wa Dk. Hussein Mwinyi…

Soma Zaidi »
Amerika

FDA yaidhinisha kidonge Wegovy kupunguza uzito

MAMLAKA ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha matumizi ya toleo la vidonge vya dawa ya kupunguza uzito ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Mkoa wa Lindi; mafanikio lukuki sekta ya kilimo

DESEMBA 11, mwaka huu katika Manispaa ya Lindi, kulifanyika Kongamano la Wataalamu wa Kilimo na Ushirika. Kongamano hilo liliwashirikisha maofisa…

Soma Zaidi »
Afya

MOI yahudumia asilimia 62 ya ajali za bodaboda

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema imetimiza malengo iliyojiwekea ya kuwahudumia wagonjwa kwa zaidi ya asilimia…

Soma Zaidi »
Biashara

Ziara ya Balozi nchini Malawi yaibua fursa, kusisimua uwekezaji

KATIKA mwambao wenye utulivu wa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma, eneo ambalo mara nyingi husimuliwa kwa mandhari yake ya kuvutia, rasilimali…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mavunde awapa matumaini mapya wachimbaji wadogo

SHINYANGA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wadogo kuwa leseni  zao ambazo zitaisha muda wake mwezi Januari 2026, hawatanyang’anywa…

Soma Zaidi »
Biashara

Dawa ya msongamano wa malori mpakani Tunduma ‘inazidi kuiva’

“TUNASHUKURU serikali imejitahidi kupitia vikao mbalimbali, wakiwemo wadau mbalimbali ambao ni madereva na matunda tunayaona. Luzicargo na tenki (malori ya…

Soma Zaidi »
Back to top button