Year: 2025

Chaguzi

Nchimbi aahidi kumaliza kero ya barabara

LUDEWA : MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia CCM ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi neema kubwa kwa wakazi wa Ludewa…

Soma Zaidi ยป
Chaguzi

Hii ndio pawa ya CCM Namtumbo

SONGEA, Ruvuma: TOFAUTI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine vinavyowania ridhaa ya wananchi ni namna chama hicho kilivyoweka…

Soma Zaidi ยป
Africa

MCP yadai kuibiwa kura uchaguzi Malawi

MALAWI : CHAMA Tawala cha Malawi, Malawi Congress Party (MCP), kinachounga mkono Rais Lazarus Chakwera, kimesema kina ushahidi wa wizi…

Soma Zaidi ยป
Afya

CHATO: Wagonjwa 1,082 Wafaidika na Huduma za MOI

CHATO : ZAIDI ya wagonjwa 1,082 wamefaidika na huduma za kibingwa na kibobezi za Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya…

Soma Zaidi ยป
Tanzania

Wajasiriamali wanaozongatia ubora waongezeka

KIGOMA: SHIRIKA la Viwango (TBS) limesema kuwa kumekuwa na idadi kubwa ya watanzania wajasiliamali ambaao wanatumia alama ya ubora ya…

Soma Zaidi ยป
Chaguzi

Nchimbi sasa kuwasha moto Njombe

NJOMBE : MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi ameanza rasmi kusaka kura za…

Soma Zaidi ยป
Kimataifa

Vita na Hezbollah vyafungua fursa ya amani

JERUSALEM, Israel : WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema vita kati ya Israel na kundi la Hezbollah vimetengeneza uwezekano…

Soma Zaidi ยป
Kimataifa

Tunaitambua Palestina – Keir Starmer

LONDON: UINGEREZA , Australia na Canada zimetangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, hatua inayotajwa kuwa mabadiliko makubwa ya sera za…

Soma Zaidi ยป
Featured

Kenya yashinda mara mbili Berlin Marathon

BERLIN: WANARIADHA wa Kenya wameibuka washindi katika mbio za 51 za Berlin Marathon kwa upande wa wanaume na wanawake, ingawa…

Soma Zaidi ยป
Africa

Guinra yapiga kura ya maoni kubadilisha katiba

GUINEA : RAIA wa Guinea wamepiga kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa kijeshi, Jenerali…

Soma Zaidi ยป
Back to top button