Year: 2025

Featured

Ruvuma yafikiwa elimu ya mazingira madini ya Uranium

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu ya kimazingira na afya kwa vijiji viwili vya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Iran, IAEA yafikia makubaliano mapya

CAIRO, MISRI : IRAN imekubaliana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kudhibiti Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (IAEA) kuhusu…

Soma Zaidi »
Amerika

Majaji wamtia hatiani Bolsonaro

SAO PAULO, BRAZIL : MAJAJI wawili wa Mahakama ya Juu nchini Brazil wamepiga kura kumtia hatiani Rais wa zamani Jair…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Serikali yasitisha uchaguzi TOC

DODOMA: Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesitisha rasmi mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) uliokuwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tembo Warriors: Kenya imetupa funzo

BURUNDI: NAHODHA wa Timu ya Taifa ya soka kwa watu wenye ulemavu, Tembo Warriors, Bashra Alombile, amekiri kuwa matokeo ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Ni zamu ya Manara kuishika Dar kesho

DAR ES SALAAM; MGOMBEA udiwani wa Kata ya Kariakoo, Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi…

Soma Zaidi »
Africa

DRC yazindua kampeni ya mauaji ya halaiki

KINSHASA, DR CONGO : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imezindua kampeni katika Umoja wa Mataifa kutaka jumuiya…

Soma Zaidi »
Afya

Wadau waipongeza serikali ubora huduma za afya

MOROGORO: WADAU wameipongeza serikali kwa kufanya uwekezaji mkubwa na uboreshaji miundombinu ya  kutolea huduma za afya katika hospitali mbalimbali nchini…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Macron amteua Lecornu Waziri Mkuu mpya

PARIS, UFARANSA : RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amemteua Waziri wa Ulinzi na mshirika wake wa karibu, Sebastien Lecornu, kuwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Shambulio la Israel ni ugaidi wa serikali

DOHA, QATAR : WAZIRI Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani,…

Soma Zaidi »
Back to top button