Year: 2025

Afya

DCEA yazidi kushirikiana kimataifa

NASHVILLE : TANZANIA imeingia makubaliano ya kimataifa na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu ili kudhibiti matumizi yake katika utengenezaji…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Ndoinyo apitishwa, mwingine akiuka kanuni

ARUSHA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo amepita bila kupingwa katika…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wagombea, vyama vizingatie kampeni za kistaarabu kulinda amani ya nchi

LEO (Agosti 28, 2025) ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025. Vyama…

Soma Zaidi »
Featured

Samia: Ilani ya CCM imezingatia maudhui Dira ya maendeleo 2050

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuanza kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania kuwa kitovu uchumi wa kijani wa nishati safi

KATIKA kipindi kifupi kijacho Tanzania itakuwa kitovu cha uchumi wa kijani hususani katika utengenezaji wa magari ya umeme, betri za…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kumekucha kampeni za Uchaguzi Mkuu

WAGOMBEA urais 17, ubunge na udiwani leo wanatarajiwa kuanza kampeni kuomba wananchi wawapigie kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Queen Lugembe arejesha fomu ya ubunge Ubungo

DAR ES SALAAM: MWANAHARAKATI na kada wa chama cha ACT-Wazalendo, Queen Julieth Lugembe, leo amerejesha rasmi fomu ya kuwania ubunge…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mgombea wa Chaumma aja na kipaumbele cha ajira Mafinga Mji

Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mji kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ngwada Mubarak Twaha, amezindua rasmi ajenda…

Soma Zaidi »
Dini

Bakwata: Tambueni thamani ya kura zenu

DAR ES SALAAM: KATIBU Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Shekhe Alhaj Nuru Mruma, amewataka Watanzania kutambua thamani…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Samia, Nchimbi walivyorejesha fomu INEC

UREJESHAJI wa fomu na uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais umefanyika leo katika ofisi za…

Soma Zaidi »
Back to top button