Mafuriko yaua 30 Nigeria
NIGERIA : MSEMAJI wa Kitaifa na msimamizi wa masuala ya dharura nchini Nigeria Ezekiel Manzo, amesema idadi ya watu waliopoteza maisha imefikia na wengine milioni moja kupoteza makazi kufuatia mafuriko yaliyotokea Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
Taarifa zinasema kuwa kuporomoka kwa bwawa kubwa katika Mkoa wa Bomo kumesababisha mafuriko tangu miaka 30 iliyopita
Serikali nchini Nigeria imesema bwawa hilo lilikuwa limehama kutokana na mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha katika eneo hilo na kuathiri bwawa hilo kusambaratika. SOMA : Kim ashiriki uokozi waathirika wa mafurik
Ni miaka miwili sasa tangu mafuriko mabaya zaidi kutokea huko nchini Niger ambapo watu 600 walipoteza maisha . SOMA : http://LORI LAPINDUKA, KUUA 48 NIGERIAL