Mwigulu atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mzee Mtei

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), marehemu Mzee Edwin Isaac Mtei, Nyumbani kwa marehemu Tengeru (Chama), Wilaya ya Arumeru Mashariki mkoani Arusha, leo Januari 24, 2026.

Dk Mwigulu amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Mzee Edwin Issac Mtei. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button