Mwigulu akagua maendeleo ujenzi stendi ya mabasi Arusha

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.

Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha miundombinu ya usafiri na usafirishaji na kupunguza msongamano katikati ya jiiji hilo.

Mradi huo ambao unatarajiwa kukamilika Mwezi Mei 2026 umefikia asilimia 49.

 

Habari Zifananazo

One Comment

  1. A CBD balm and Delta 9 Beer near me from this brand has a smooth, even consistency that spreads easily. The container is compressed and travel-friendly, and the lid closes securely. The perfume is light and botanical, which makes it lovely to put nearby.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button