Bandari ya Dar kuongezwa, yatarajia kupokea meli nyingi

DODOMA: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeanza mazungumzo na Benki ya Dunia kwa lengo la kupata mkopo wa gharama nafuu utakaowezesha ujenzi wa gati nne mpya katika Bandari ya Dar es Salaam.
Amesema ujenzi wa gati hizo utaiwezesha Bandari ya Dar es Salaam kuongeza uwezo wa kupokea meli kubwa nyingi zaidi kwa wakati mmoja, hatua itakayoongeza ufanisi na ushindani wa bandari hiyo kikanda na kimataifa.
Kihenzile ameeleza kuwa uwezo wa bandari kupokea meli hutegemea vigezo mbalimbali, ikiwemo urefu wa gati kulingana na aina ya meli, ukubwa wa yadi za kuhudumia shehena, kina cha lango la kuingilia meli, upatikanaji wa vifaa vya kisasa vya kuhudumia mizigo pamoja na mifumo ya kuhudumia meli. Amesema kutokana na mahitaji hayo, Serikali imeona kuna umuhimu wa kufanya maboresho ya miundombinu ya bandari.
Naibu Waziri ametoa kauli hiyo leo Februari 3, 2026, Bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Bumbwini, Zanzibar, Mwinyi Jamal Ramadhan, aliyehoji sababu za Bandari ya Dar es Salaam kutokuwa na uwezo wa kupokea meli kubwa nyingi kwa wakati mmoja.
Ameongeza kuwa kwa sasa Bandari ya Dar es Salaam ina jumla ya gati 13 zenye uwezo wa kuhudumia meli kubwa, na kwamba maboresho mbalimbali ya kuongeza ufanisi wa bandari hiyo yataendelea kufanyika ili kuendana na ongezeko la mahitaji ya usafirishaji wa mizigo.

Wakugawana vya kwake haeleweki Tanzania – Tukagawane Kutokueleweka kwake 【Kilimo ni uti wa mgongo