Wamachinga wazua tafrani Mwanza

KIKUNDI cha vijana wanaodhaniwa ni wafanyabiashara wadogo (Wamachinga) mkoani Mwanza, wameandamana katika barabara ya Nyerere jijini Mwanza leo Jumatano Februari 8, 2023, huku wakirusha mawe na kuiba vitu katika maduka, sababu ikidaiwa ni kupinga maeneo waliyopangiwa ya kufanya biashara.




