Busega waamka na Dk Samia

SIMIYU: Wananchi wilayani Busega mkoani Simiyu wamefurika wakimsubiri mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan ambaye leo atahutubia wananchi hao ikiwa ni muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button