Simba wamalizana na Chama

UONGOZI wa klabu ya Simba umesema majadiliano na kiungo Clatous Chama yamemaliza vizuri.
 
Nyota huyo sasa ataondoka nchini muda wowote kuelekea Uturuki kujiunga na wenzake.
 
Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabakaji, Fabrice Ngoma.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button