Vini nje miezi miwili

Real Madrid imesema mshambuliaji Vinicius Junior atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili kutokana na majeraha.

Vini aliumia juzi akiwa na Brazil katika michezo ya kufuzu Kombe la Dunia.

Kuumia kwa Vini kunaleta changamoto kwenye kikosi cha Madrid, baada ya Camavinga pia kuumia ambapo ripoti zinaeleza atarejea Januari.

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button