Rais Senegal athibitisha tarehe ya kuachia madaraka

RAIS wa Senegal, Macky Sall amethibitisha kuwa ataachia ngazi muda wake utakapokamilika Aprili 2, 2024.

Rais Sall alibainisha kuwa “mazungumzo ya kitaifa” yalikuwa yametaka uchaguzi ufanyike Juni 2, 2024.

Hata hivyo tarehe hiyo haijathibitishwa. “Kuondoka kwangu ni thabiti kabisa,” alisema.

Haijulikani ni nani ataiongoza Senegal baada ya Sall kuachia madaraka.

Habari Zifananazo

Back to top button