RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimwakilisha Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakati Rais wa Zimbabwe, Emmerson Dambudzo Mnangagwa ambae kwa sasa ni Mwenyekiti wa SADC alipofunga Mkutano wa Viongozi Wakuu na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini Mwa Afrika SADC uliofanyika katika Bunge la Zimbabwe lililopo mji mkuu, Harare.