Rais Dk Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, Mwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection, Andrea Azzola wakati wa ufunguzi wa hoteli hiyo iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar leo Januari 07.