Yanga watua Kigoma

KIGOMA; Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Kigoma mchana wa leo Ijumaa Februari 21, 2025 kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa Jumamosi Uwanja wa Lake Tanganyika. (Picha na mtandao wa Yanga).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button