Mwanafunzi ajinafasi kwenye kiti cha Rais

TANGA: Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila ya Muheza, Ester George Barua, ambaye alimruhusu akalie kiti chake cha Rais kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa CCM Jitegemee Wilayani Muheza, mkoani Tanga leo Februari 27, 2025.

Rais Dk Samia alifurahishwa na mwanafunzi huyo, wakati akielezea mafaniko ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa lugha ya Kingereza.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button