Picha: Matukio mbalimbali ziara ya Wasira Kishapu

SHINYANGA:MATUKIO mbalimbali wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alipokuwa  wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga  kuzungunmza na wanachama na viongozi wa CCM wilayani.

Mkutano huo ni sehemu ya  ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Shinyanga.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button