Kazi na dawa mkutano CCM

 

DODOMA; Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akifurahia burudani ya muziki pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, wakati vikundi mbalimbali vya sanaa ya vilipokuwa vikitumbuiza kabla ya kikao kuanza rasmi leo Ijumaa Mei 30, 2025.

Mkutano huo ulianza jana Mei 29, 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, na utamalizika leo na mojawapo ya ajenda ni uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2025 – 2030.

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button