Prof. Mkumbo anawasilisha Hali ya Uchumi wa Taifa

DODOMA; WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, muda huu anawasilisha bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026. Endelea kutufuatilia.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button