Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 3

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Bunge la 12 litavunjwa rasmi Agosti 03, kufuatia kukamilika kwa kipindi chake cha kikatiba.

Akizungumza leo Juni 27, 2025 jijini Dodoma wakati wa kufunga shughuli za Bunge hilo, Rais Samia amesema kuvunjwa kwa Bunge kutafungua rasmi ukurasa wa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, na kuwataka Watanzania kujiandaa kwa kipindi cha kampeni kwa amani na utulivu.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button