UWT Moro wapiga kura Ubunge Viti Maalumu

MOROGORO; Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi wa Umoja wa Wanawake Tanzania ( UWT)wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, wakipiga kura ya maoni kuchagua wagombea Ubunge Viti Maalumu leo Julai 30, 2025, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.(Picha zote na John Nditi)

–



