MGOMBEA wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi wa Uyole wakati akielekea Rungwe katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa chama hicho mkoani Mbeya leo Septemba 05, 2025.(Picha na CCM)