Bidhaa ya chama yaondolewa sokoni

DAR-ES-SALAAM : SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeondoa sokoni tani 42 za bidhaa za chakula za watoto maarufu chama zenye ‘midoli’ ndani yake. Pia, limesema baada ya kufanya uchunguzi na kubaini uwepo wa viwanda vinavyozalisha bidhaa hizo, ilipiga marufuku na kusitisha uzalishaji na uingizwaji wa bidhaa hizo sokoni.

Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji wa Sheria wa TBS, Kandida Shirima alitoa ufafanuzi huo wakati wa mkutano wa wahariri na waandishi wa habari uliofanyika jana kuelezea mafanikio ya TBS katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.

Hatahivyo, alisema shirika lilibaini uwepo wa baadhi ya wazalishaji wanaofunga vyakula na vitu vingine kama midoli hasa kwenye bidhaa za chakula za watoto kwa lengo la kuvutia watumiaji na baadaye walichukua hatua ya kutoa taarifa kwa umma na kuvifikia vi[1]wanda vinavyozalisha bidhaa hizo na kusitisha uzalishaji wake.

“Tumefanya ukaguzi kupitia ofisi zetu za kanda nchi nzima na tumeziondoa kwenye soko tani 42… tumeendelea kusitisha uzalishaji na sasa hakuna anayezalisha,” alisema.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dk Ashura Katunzi alitoa tahadhari kwa watumiaji wa pombe wanaochanganya kuwa wanapaswa kuz ingatia matumizi sahihi ya bidhaa hasa vinywaji vikali Akizungumzia mafanikio ya TBS katika miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan  madarakani, Katunzi alisema TBS imefanikiwa kupima sampuli 152,812 na kufanya ugenzi wa vifaa 42,993 ili kuongezea uhakika sokoni kwa kuwa na bidhaa zenye ubora.

Alisema katika kuimarisha ukaguzi wa bidhaa zinazoingia nchini kutoka nchi za nje kama magari yaliyotumika kabla hayajaingia nchini, TBS ilikagua shehena za bidhaa 153,159 kabla ya kuingia, shehena 352,103 zilikaguliwa baada ya kufika nchini. Pia, TBS imetoa vyeti vya leseni kwa wajasiriamali wadogo 1,359 ikitenga zaidi ya Sh milioni 350 kila mwaka kuwahudumia wajasiriamali wadogo bila malipo.

“TBS imefanikiwa kuandaa viwango 2,765 vya sekta mbalimbali kwa kuzingatia mahitaji ya soko vitakavyosaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora zenye kukidhi matakwa ya viwango,” alisema. SOMA: TBS yanogesha mambo ujenzi maabara Dodoma, Mwanza

Katika kuhakikisha wanawafikia wananchi kwa urahisi na kupunguza gharama serikali imeanza ujenzi wa maabara katika mikoa ya Dodoma na Mwanza kuwahudumia wananchi wa kanda hiyo ya thamani ya Sh bilioni 36.8 huku katika kuimarisha ofisi za kanda zimeelekezwa zaidi ya Sh bilioni 9.8 Arusha,

Habari Zifananazo

30 Comments

  1. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  2. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  3. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  4. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  5. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  6. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  7. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  8. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  9. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  10. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  11. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  12. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  13. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  14. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  15. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  16. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  17. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  18. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  19. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  20. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  21. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  22. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  23. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  24. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  25. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  26. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  27. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  28. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  29. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

  30. Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Jumatatu, Julai 14, 2025

    By Rajabu Athumani

    Mwandishi wa Habari

    Mwananchi

    Muktasari:
    Mwili mmoja kati ya hiyo ulibainika kuwa wa mwanaume, mfanyabiashara wa nyama (bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button